@CloudsMediaLive Hili nikosa la wazazi kukubari kuwa kimya zungumza na mwanao usione aibu coz unapoona aibu sasa mtoto anaharibiwa kwakukosa elimu na misimamo ya Dini mbona biblia zimeqndika kufirwa na haijatumia lugher mficho
@TonnyAdamms@VitusNkuna@HusseinBashe Wakariport wapi mkuu ikiwa police anamlinda mwana siasa na si mtanzania na Mali zake,pia siasa zinamlinda police badala yakuwatumikia waliowapa ajira HII inaitaji mabadiriko yaki
#katibanzuri kisha mamlaka yarudishwe KWA wapiga Kura wapewe elimu
@RaheelYanga@ayubu_madenge Si wamesoma sasa wanalia Nini Ila kukiwa na
#katibanzuri
Tutapata viongozi wazuri mitaara mizuri na pia mahakama zikiwa huru tutawashitaki tulio wapa madaraka wakajinenepesha wao now ukinywa energy ya mo au baresa ikikudhuru kapuku huwezi washitaki hawa sema unabishaaa
@RaheelYanga@ayubu_madenge Kijana kama wewe unafaidika na nanini kwenye kipato chako ikiwa Kuna wasomi na hawana mitaji wamesoma hawana ubunifu wakuzalisha ajira wanalalama ajira hakuna kwanini wasijikusanye wakaomba mkopo wakafungua kiwanda Cha cm,magari,pkpk,baiskeli madawa,vyote tunaletewa siasa kwanza
@Chikobe2000@ayubu_madenge Nchi inayoona hakuna umuhimu wakufatilia siasa Wala wahamiaji mfano jiji limekuwa kimbilio la wahamiaji na uhamiaji ukiwaelekeza wanakwambia huna ushahidi,siasa ndio inapanga maisha yetu na thamani Leo vitu Bei juu na hatuna habari Mimi sinauwezo bc kula pamoja ndio Nini๐คฎ๐ค
@MabalaMakengeza@MalemboLE Ukisikia video HII ukiipata nzima ndio utajua maana ya elimu na utofauti wakuwa na akili huyu kama mlevi Ila ayo madini sasa