@SulleySHassan1 Tangu lini waandishi wa habari wakawa na uwezo wa kuchambua mambo, kwanza wana elimu ndogo za mambo, pia waandishi wengi wamepata elimu zao kwa nguvu kutokana na uwezo wao mdogo wa darasani, sasa Gerad na Musa Kipanya, wamepata wapi akili ya kuchambua mambo ya kidunia?
@ThatBoyKhalifax Kwanini atukanwe yeye tu? mbona wastaafu ni wengi tu, afu bado wanaikosoa ccm bila viashilia vya kuivuruga nchi, sema huyu mzee alisahau kujiandalia ustaafu mzuri, leo ndo anataka kuonekana ni mwema baada ya vijana wake kukosa nafasi..... atulie, hakuna atakayemtukana
@chapanombombwi@ChademaTZ2@AdvMahinyila Ujue sahivi nchi ipo busy na safari ya Rais Samia, sasa nchi ipo Russia afu wewe unatuletea mambo ya Kilwa vidudu๐๐๐๐๐