Kuna Dem wa lending app fulani amenikol kuniuliza kama najua cuzo wangu anaitwa Fidel. Vile tu amejieleza hivi nimepiga nduru moja safi na kusema "kumbe nyinyi ndio wauaji, yaani hamjatosheka na damu ya cuzo wangu... shindwe..." Huyo Mdem ameshangaa, amesema pole kwa familia na adi akaomba msamaha mara tatu. Lakini kusema ukweli huyu jamaa atatoa wapi 10k sai kama hata please call me zake hukuwa exhausted before noon. Wuuueh! 😂