Najua uko smart,
Najua una akili sana,
Najua unasali sana,
Najua una marafiki,
Lakini leo ukisali muombe Mungu akukutanishe na mtu mmoja sahihi wa kuendana na mawazo na ndoto ulizonazo.
Kuna mwanamke atakuja kwenye maisha yako na hatataka ubadilike kwa ajili yake.
Atataka ukue.
Atataka utimize malengo yako.
Atataka uwe karibu na Mungu.
Atataka uwe version bora ya wewe mwenyewe.
Huyo ni tofauti na wengi.
Ukimpata TULIA .
Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
🧵🧵
Wakati ukiwa mtoto kuna yule mganga alikua anakula sana pombe au sometimes anaingia kazini amewaka sana. Unashangaa eti mganga mzima hana hata pikipiki? Siku hizi huyo mganga ndio wewe.😂
Kwenye Maisha Changamoto Kubwa Ni Kwamba Wapo Watu Ambao Wataamua Kupambana Na Umasikini Walionao.
Lakini Vile Vile Wapo Watu Ambao Badala Ya Kuunga Mkono Juhudi Za Kupambana Na Umasikini Huo Wao Wataamua Kupambana Na Watu Ambao Wameamua Kupambana Na Umasikini.
22nd May, St Rita of Cascia Feast Day🙏🏾 I’ve been praying this Novena since 2015 and all I can say is, I see miracles. All the impossibles have turned into possibles. We celebrate and honor you today our dearest Mom♥️