📌📌DAR-ES-SALAAM 📌📌
📌MUDA : 8:00 MCHANA,📌
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ALIZINDUA SERA YA MAMBO YA NJE YA MWAKA 2001 (TOLEO LA 2024)
📌TAREHE: 19 MEI 2025 📌
📌MAHALI : UKUMBI WA JNICC📌
#Kazinanaututunasongambele#tanzaniampya
Leo imekuwa siku ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo nimezindua Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la Mwaka 2024). Hatua hii ni utekelezaji wa maelekezo niliyotoa bungeni Aprili 2021, ambapo maboresho haya yamelenga kuiwezesha nchi yetu kuendana na mabadiliko makubwa yaliyotokea kwa miongo miwili ndani na nje ya nchi.
Ninawapongeza wote mlioshiriki kuandaa sera hii, hasa wananchi mliotoa maoni, kwani mmeshiriki katika kujenga hatma ya nchi yenu na mmeweka alama isiyofutika.
Aidha, nimeielekeza Wizara ya Mambo ya Nje pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kuchukuwa hatua za haraka, ikiwemo kutoa ufafanuzi, pindi kauli au matamko yanapotolewa kuhusu nchi yetu ili kudhibiti upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu.
Nchi yetu itaendelea kubaki salama, yenye amani, umoja na utulivu, na hakuna mtu yeyote atakayetuondolea nguzo hizi muhimu.
"Tulikuwa tunaskia madini huku yamepenya, kule yamepanya, Mara kwenye viwanja vya ndege. Niwaombe waliotumwa kusimamia utoroshaji wa madini,wajirudi na kulinda rasilimali zetu.
Leo tunashiriki kama wabia kwenye uchimbaji wa rasilimali zetu muhimu na adhimu kwaajili ya kuliletea maendeleo taifa letu. Tunapaswa kujipongeza kwa hatua hii." @SuluhuSamia
#Sisinitanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya #kaziiendelee #kazinaututunasongambele #katibanasheria #mslac #SSH
2. Muktadha wa Kikatiba (Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977)
Ibara ya 13(6)(a):
“Wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi na mahakama au chombo kingine chochote kinachohusika, basi mtu huyo atakuwa na haki ya kupewa nafasi ya kusikilizwa kwa ukamilifu...”
👉 MSLAC inaelimisha watu jinsi ya kutumia haki hii kwa kuwasilisha kesi, kuomba msaada wa kisheria, au kutafuta suluhisho mbadala kama usuluhishi na maridhiano.
Ibara ya 107A(2)(b):
“Kutoa msaada wa kisheria kwa wasiojiweza.”
👉 Hili ni jukumu la mahakama na serikali – na kupitia MSLAC, jukumu hili linatekelezwa kikamilifu kwa kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kugharamia mawakili.
#mslac #Kazinaututunasongambele #katibanasheria #ikulumawasiliano
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977
Ibara ya 13(6)(a):
“Kila mtu anayo haki ya kusikilizwa kwa ukamilifu na kwa haki mbele ya chombo kinachotatua migogoro ya haki zake.”
MSLAC inaunga mkono ibara hii kwa kutoa msaada wa kisheria, kuhakikisha mtu hata kama hana uwezo wa kulipia wakili, bado anasikilizwa kwa usawa mbele ya vyombo vya sheria.
#mslac #Kazinaututunasongambele #katibanasheria #ikulumawasiliano
Rais @SuluhuSamia kama mlezi wa haki za binadamu, usawa na sheria kwa mujibu wa Katiba.
Anaakisi uongozi unaojikita katika misingi ya utawala wa sheria, ulinzi wa haki, na maendeleo ya kijamii yanayojali utu wa kila raia.
#mslac#Kazinaututunasongambele#katibanasheria #ikulumawasiliano
Picture inajieleza vyema na matendo ya Mh Rais, Mh Rais #DRSSH nimpenda haki na mlezi wa watanzania, ndio maana mpenda haki huyu ameleta msaada wakisheria ilikila mtu aweze kupata haki yake hata kama hana fedha na pia ametufungulia nchi na maendeleo yanaonekana. #sisinitanzania