Habemus Papam!
Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia kwa ujumla.
Mwenyezi Mungu akusimamie na kukuongoza.
OFISI YA RCO MBEYA NDIO INAHUSIKA NA UTEKWAJI WA MDUDE HILI HALINA KONA KONA.
AFANDE SHABANI.
AFANDE VEDA
Hawa ndio walikuwa na misheni ya UJASUSI kwa Mdude. Muda utaongea yote.
#FreeMdude#TUTAKUWEPO🫵😎
@Sativa255 UYU SHEGHE KWANZA NO MGANGA WA KIENYEJI PILI ASHA KATWA KINYEO ALIFUMANIWA GARI YAKE IKAVUNJEA VIOO ANAJIITA MFALME WA MAJENGO SHEE NASORO ISA