@HecheJohn Makamu wa Raisi keshasema Tupambane tupate katiba mpya ndo suluhisho ya hawa watu wafanye kazi kwa uhuru wao Polisi afanye kwa uhuru mahakama pia na kila sehemu ila tusipopambana tutapelekeshwa tu muheshimwa Heche
@mangekimambi Kwa katiba hii iliyopo Tanzania hii sisi kama watanganyika kuna siku tutauzwa wekeni hii kama akiba. Makamu wa raisi aliposema wananchi tuipambanie katiba ni kitu ambacho amekimaanisha wallah
@Roma_Mkatoliki Kabisa mkato daah safari ya mafanikio haijawahi kuwa nyepesi. Mnaondoka mnapiga stori inafika muda minuno mikali. Inafika muda mnasalitiana daah lkn ni lazima tufike tuliamua kuendeleza mapambano bado kitambo kidogo tu
@Sativa255 Yaani mtu alikuwa waziri anahamishwa kitengo cha uwaziri eti anashangaa alafu unaambiwa ni Profesa daah kama wasomi ndo hawa tena safari ndefu km taifa