Mashahidi wote waliperuzi simu zao Tarehe 04 April
Mashahidi wote walishawishika siku hiyo hiyo.
Mashahidi wote walikamatwa ila hawakufunguliwa kesi
Mashahidi wote nini kingine tena? 😀
Mzee Alute anasema GenZ wamefanya kitu ambacho hakutegemea.
Kwa masaa 24 tu tayari M-PESA kuna 10M na Tigopesa 10M. Hivyo namba hizo zimefika limit ya kupokea hela kwa siku.
Amejaribu kupunguza lakini bado fedha zinagoma kuingia. Anapiga simu Customer care kuona namna wanavyoweza kumsaidia.
Kwahiyo anawaomba kwa sasa fedha zitumwe kwenye akaunti yake ya NBC 014101005426 jina Alute S. Mughwai.
Unaweza kutuma bank kutokea kwenye simu. Fanya hivyo wakati anashughulikia changamoto iliyojitokeza kwenye namba zake za simu. #FungaMwakaNaTunduLissu #StrongerTogether
GEN Z NIMEKUBALI UWEZO WANANGU MWAGA MOTO KAMA MADRAGON🔥🔥🔥🤣🤣🤣
REPOST 200
#TUTAKUWEPO🫵😎
Rafiki angu MOHAMED JOHARI (Meddy) ni moja ya vijana wetu waliouwawa na polisi wakati wa maandamano ya Oktoba 29.
Medy alikuwa ni Mwanachama wa Chadema Jimbo la Ilala, Nilifanya naye kazi mbalimbali za kujenga Chama Jimboni hasa za Baraza la Vijana (BAVICHA), Medy alikuwa ni kijana mzalendo aliyejitolea muda wake mwingi kutumikia Chama na Nchi yake.
Medy aliuwawa kwa kupigwa risasi na askari Polisi mchana wa Oktoba 29 akiwa maeneo ya Ubungo DSM, akiwa anaandamana kwa amani kupinga UTEKAJI, UFISADI na kudai TUME HURU YA UCHAGUZI.
Ndugu, Jamaa na Marafiki tulishirikiana kutafuta Mwili wa Meddy kwenye Mortuary zote za DSM bila mafanikio, Hatimae Jana Familia yake ilikubali na kufanya Msiba na kumaliza matanga bila kuona mwili wake.
Tunamshukuru MUNGU kwa zawadi ya maisha yake hapa Duniani, Maisha yake yalikuwa ya baraka na kipekee yaliocha alama isiyofutika kwa Chadema na Taifa kwa ujumla, Damu yake isiyo na hatia itadaiwa usiku na mchana kwa wote waliohusuka.
PUMZIKA KWA AMANI MEDDY💔
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Jamaa alitoka kupiga kura Maandazi Road Mbezi ile anatoka jamaa si wakaanza kushoot 💔Bahati mbaya ikampata kwenye Mbavu
Kimbiza Hospitali wakagoma kumtibu Bleed to Death, Wamezika jana Magari Saba 🚶🏻♀️unajiona wewe ni special yakitokea hayabagui Mzee.