Men should be aware of the fact that,The more unataka kubadili wanawake the more expenses unaingia, no way utabadili wanawake usitumie sana pesa.
Unawezakuwa na uhakika wa pesa ila inakusaidia kupata chakula, kodi, sex na mavazi.
Sahau kuhusu PROGRESS and GROWTH.
#kalamuyajobless
Moja ya changamoto kubwa tunazokutana nazo vijana kwenye mambo ya ajira ni kutoaminiwa kutoka na notion kwamba vijana wengi kwa Sasa hatuna ujuzi wa kutosha,kibaya Zaidi wanaoshikilia kauli hii wengi walisoma elimu ya zamani ambayo kwasasa Haina manufaa yoyote mbele ya utandawazi
Being hardness and having resilience when you face any challenge it's very important to our life and mental health in general.
#spychologyforlife#mentalhealthforlife
Kuna wakati mungu anatupitisha kwenye nyakati ngumu ili tu uweze kumkumbuka na kurudi katika mstari. Trust me mungu hawezi kukupa mtihani alafu akakunyima njia ya kuutatua.
Allihamdulilah once again.
#mungunimwemasana
Ndugu zetu mloajiriwa serikalin na private sectors tunakumbushana tu kuwa hakuna mwajiriwa alotajirika kwa kutegemea mshahara pekee, hivyo nawashauri tu kutumia mishahara yenu kama mtaji wa kuwekeza katika fursa zingine ili kuongeza kipato chenu.
#Joblesskatoawazo#Betterdayahead
Dear gentlemen's nawakumbusha tu kuwa Kuna special treatment anapaswa kupewa mwanamke ambae umefunga nae ndoa ambazo so lazima kuzitoa kwa mwanamke ambae upo nae tu kwenye mahusiano.
NB:Tusijiachie sana katika kipindi cha mahusiano.
#marriagestatus
Ukiona kukupigia kwake simu ni mpaka akiwa na tatizo ndo akutafute Guys ABORT THE MISSION huyo atakuwa yupo kwako kimaslahi zaidi kuliko Upendo.
#Darasalamahusiano#life