@TanzaniaOneJezi Kuna jamaa wangu alidisco akiwa mwaka wa nne Medical Doctor pale UDOM akarudi kusoma CO ajira zajuzi APA kapata anakula zake salary tuu
Walitusaliti tuliwasamehe. Hawakutaka kutujibu text, hatukukata tamaa. Tukaendelea kuwatumia sms. Hawakupokea simu pale tulipowapigia, lakini hatukukoma.
Ni kwa sababu tulikuwa na upendo wa hali ya juu dhidi yao. Mapenzi ambayo Moyo ulikuwa ukigoma kuyaamini tunayofanyiwa na
Okay tupo mitandaoni humu tukipeana maneno ya faraja kila siku.
Usikate tamaa, ipo siku, leo sio kama jana, kesho utapata,
Wakati sisi ndo kwanza tumejikatia tamaa wala hatuna tumaini.
Kuna wakati tunapeana maneno ya kuinuana.
Piga kazi, amka mapema, mafanikioni kujituma, njia za mafanikio ni hizi, ukitaka pesa fanya hivi.
Wakati sisi wenyewe hohe hahe hali mbaya majobless wa kutupwa.
Pia tunapeana maneno mazuri ya kuhusu mahusiano.
Ukitaka kumridhisha fanya hivi, akikuacha achana nae, namna nzuri ya kupata mpenzi, jinsi ya kufanya upendwe.
Wakati huo sisi pia tunamajeraha ya mapenzi kila kona ya moyo na akili zimeathirika kutokana na hayo mapenzi.
Mitandao imekua sehemu ya kuficha maumivu yetu.
Imekua sehemu ya kuficha aibu zetu
Imekua sehemu ya kufake maisha yetu
Imekua sehemu ya kupotosha vitu ambavyo hata sisi hatuna.
Tulikula mtama na maji tukanawili kuliko wao
Hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao
Walitubadilisha majina hawakubadili hatima walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu
Kule walipotusukumia ndipo Mungu hupumzikia walizani wanatufukuza kumbe wanatusindikiza
J,pili njema familia🙏🏽
Endapo yeyote akaambiwa aandike essay yenye maneno yasiyozidi 200 ili ajieleze kwa nini unamchukia JANUARY MAKAMBA?, naamini atakosa japo aya ya utangulizi.
Lakini mtu huyuhuyu akiulizwa swali hili juu ya NAPE NNAUYE, atakuwa na maneno ya ziada.
Uzi👇
CHOCHORO ZA MADARAKA