Super excited to be covering the BONGOPIANO playlist this week! Update your Playlist πΆ I DONβT CARE π₯
Letβs vibe together π https://t.co/E9AK0G5Dtt
Nilikuwa na ndoto kabla hata sijaweza kuitamka hadharani.
Leo, nazitazama zikimea taratibu. Huku nyingine nyingi zikitimia
Kwa kila mdada anayeanza safari yake usiache kuamini. Kumbuka wewe ni Maua. Unachanua ππ
#MauaJourney#WomanInBloom
Bestie Kila dakika unayotumia kwa wengine ni dakika usiyotumia kwako. Sio ubinafsi, kujipa nafasi ya kujizingatia kujipa kipaumbele na kujiendeleza Ni kujijali.