Nilipost hii Sundar Speaker, Mkali @Mbonile6 akanicheki tukafanya biashara kwa uaminifu, finally mzigo ukamfikia mpaka KIABAKARI MARA.
Umetisha sana kaka big up sana.
Kama unahitaji TV, soundbar, Friji na simu nicheki tufanye biashara upate mzigo kwa usalama ๐๐โ๏ธ
@neymoo_@amedeus_ch72747@ItsMrHealth Ndomana nimekwambia sisi tunafanya kwa mihemko, kwa mfano nimekuona wew unamzigo mkubwa hapo nitatamani nione kuna nini humo ndani, lakini nikimwaga tu naanza kukumbuka kumbe ni vilevile hakuna jipya
@neymoo_@amedeus_ch72747@ItsMrHealth Sisi wanaume tunafanya kwa matamanio, inaweza kuwa shape,rangi,urefu nk lakini kwa nyie wanawake mkifika kipindi cha ovulation miili yenu inakuwa ipo hyper inahitaji kufanya tendo ili mwili ubebe ujauzito.
@amedeus_ch72747@neymoo_@ItsMrHealth Hawa viumbe kwenye hilo tendo hawana maamuzi, vichwani mwao wanakuwa na maswali mengi, anawaza nikimwambia kondom atanionaje,au pengine akikataa anaweza ondoka mazima,na siku zote wanawake ndo wanapenda ngono lakini huwa wanavunga kama hawataki
@neymoo_@ItsMrHealth Natamani siku moja ningekutana na wewe japo nikuone tu huenda ningejifunza mengi ambayo siyajui na wewe pengine ungepata japo hata machache ambayo huyajui