Ugly broke nigga leo nimeangukia caisedo hizi ends,mkono wa kulia umeshika mayai nane na unga kilo mbili,ya kushoto imeshika new signing yangu sambamba aste aste mpaka maghettoni,lero ni lero mamae
Ugly broke nigga leo nimeangukia caisedo hizi ends,mkono wa kulia umeshika mayai nane na unga kilo mbili,ya kushoto imeshika new signing yangu sambamba aste aste mpaka maghettoni,lero ni lero mamae
ukiskia msupa anaitwa Wendy, Blessy, Bessy jua huyo ni miraa babes. Ukiskia ndume inaitwa Willy(Wilberforce), Wycliffe, Sospeter jua huyo ni wa ingo. Ukiskia swahili names sijui Zawadi, Amanihuyo ni wa bara.
Lakini ukiskia Edwin Sifuna unajua huyo ndo the 6th president of Kenya.