Mwezi ujao @ChademaTz Musoma Mjini tutafanya Mkutano Mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Shule ya Msingi Mukendo kwa sababu anachokifanya @jgwajima ni mikutano ya hadhara ya kisiasa, na @tanpol hawajamzuia, we can't just sit and wait for someone to have mercy to our rights...
βTumeanza kuwa na wasiwasi kwamba miaka 20 ijayo kutakuwa na changamoto ya mafuta, kwa hiyo tumeanza ugunduzi wa magari mengine. Lazima sasa tuhame kutoka matumizi ya magari yanayotumia dizeli na petroli, twende kwenye magari yanayotumia umeme n.k.β-Rais Yoweri Museveni.