@CaptainCashh E-Sir (leo ni leo) snippet..
Naweza kuwa mafuta ukiishiwa na petrol
Mzee wako akikuumiza, E-Sir ndio Dettol
Leo ni leo, kwa hivyo mbona ngoja kesho?
@CaptainCashh Jamaa moja alikuwa mtu wa reggae damu
Na-wish pia angekuwa hapa askize ngoma zangu
Ingembamba kila siku kufungua gazeti anione hapo
Akiwasha TV aone ngoma ananikuta ndani bado
Ye ndio hunipa roho ya kuandika ngoma mambo bado
Na hii verse wacha tu niimalize
@CaptainCashh Jamaa mkiona saa zingine sitaki kucheka
Msichukulie eti Nonini siku hizi anatulenga
Ni vile tu nikicheka jo hiyo mcheko yangu
Hutoka exactly tu ka ile ya brother yangu, eeh ๐ญ
@CaptainCashh Kabla ata hii genge haijakubaliwa kabisa
Ndio maana siku hizi ata siendangi kanisa
Ile uchungu mi huskia nikimwona kwa picha
Ile uoga mi huskia nikitembea bila yeye kwa giza