Maumivu utayoyapata kutoka kwa mtu unayempenda kutokana na kumuweka sana moyo mwako kiasi cha kwamba ukawaona watu wengine hawana nafasi katika maisha yako kutokana na kumpenda sana mtu fulani siku akikuacha utamkumbuka sana yule aliyekulilia uwe naye na ulishindwa kumpa nafasi.
kumthamini mtu,kumheshimu mtu,kumpenda mtu ,kumjali mtu,kumsikiliza mtu na kumkumbuka mtu hakuhitaji nguvu sana ila ukiona unamfanyia hayo mtu na yeye anakufanyia kinyume ya yote haya jua huna nafasi kwake na ukiendelea kumsumbua utaumia zaidi.
Ukipata mwanamke ambaye atakuvumilia kipindi huna kitu na akakuheshimu zaidi maishani mwake huyo ndio mke bora kwako lakini siku ukija kumuacha huo mwanamke basi jiandae kupata mwanamke ambaye hata kuvumilia hata kidogo kipindi ukiwa huna kitu maishani mwako
*KUMBUKUMBU YA KUSIKITISHA.* *Tarehe kama ya leo,miaka mitano iliyopita* *muuza karanga mmoja alikimbia na chenji yangu.* " *nasikitika xana ninapokumbuka* *chenji yangu* .😁😁😁
Mahusiano ya chuoni ni shinda tu baada tu ya kuja makotena mapya mademu waliokuwa wanaringa saivi hawa dili tena chuoni daaaaa hata ambao walikuwa hawana mademu saivi eti wanamademu jamani hizi njaa sitatuua 😁😁😁😁
Zamu 🇹🇿 TUKUTANE TENA UWANJA WA TAIFA 06/04 HAKUNA CHA KUFELI KABISA TUONESHE UZALENDO WETU KAMA SIKU ILE YA TAIFA STAR HAKUNA CHA USIMBA WA UYANGA HII TENA @simbasctanzania@HajiManara… https://t.co/uDQgsQJDNd
YES WE CAN TUKUTANE UWANJA WA TAIFA WANANGU WOTE WA FAIDA @simbasctanzania KABISA KWA AJILI TU YA KUMUUA TP MAZEMBE MAANA ZAMA ZIMEBADILIKA UZALENDO WETU KWANZA… https://t.co/B5e02lA9kq
TUKUTANE TENA TAREHE 06/04 /2019 UWANJA WA TAIFA @simbasctanzania & tp_mazembe WATANZANIA #ZAMAZIMEBADILIKA TUONYESHENI UZALENDO HAKUNA CHA #USIMBA wala #UYANGA TWENDENI TENA KUISHAGILIA… https://t.co/zcDDJtAnUL
SIJUI POZI GANI KESHO LA KUSHAGILIA UTATUMIA KATI YA HIZI HAPA @mcbabalao STAND UP COMEDY SHOW 2018 NIMEIKUMBUMA SANA HII VIDEO
😃😃😃😃HAINAKUFELI
KESHO LAZIMA UGANDA AKAE KABISA SISI… https://t.co/VFxp4bSxyU
KESHO LAZIMA UGANDA AKAE KABISA SISI TUNACHOHITAJI NI USHINDI TU MAMBO MENGINE HAMNA WATANZANIA TUACHE USHABIKI KESHO TWENDENI KUISUPPORT TIMU YETU
LA NYUMBANI 🎗 #tanzanianweddings… https://t.co/4lC8b4F1ZB
#siokilahomanimalaria
KATIKA WILAYA YA MKURANGA.🎤🎤 🎗@mcbabalao @umwalimu
🎗NI MUDA WA KUTUMIA CHANDARUA YENYE DAWA KWA USALAMA WA AFYA YAKO ILI KUNUSURU VIFO KWA WATOTO
TUNZA MAZINGIRA NA… https://t.co/oumTvBhfoY
#siokilahomanimalaria
KATIKA WILAYA YA MKURANGA.🎤🎤 🎗 @umwalimu
🎗NI MUDA WA KUTUMIA CHANDARUA YENYE DAWA KWA USALAMA WA AFYA YAKO ILI KUNUSURU VIFO KWA WATOTO
TUNZA MAZINGIRA NA USAFISHE… https://t.co/el9SnBYi6A
#siokilahomanimalaria
KATIKA WILAYA YA MKURANGA.🎤🎤 🎗 @umwalimu
🎗NI MUDA WA KUTUMIA CHANDARUS YENYE DAWA KWA USALAMA WA AFYA YAKO ILI KUNUSURU VIFO KWA WATOTO
TUNZA MAZINGIRA NA USAFISHE… https://t.co/3dy9uC53cw