🇵🇹 Portugal will never forget Cristiano Ronaldo
🇫🇷 France will never forget Zinedine Zidane
🇩🇪Germany will never forget Mario Götze
Your country will never forget _____________ 🤔⚽👇
Nimetangaza kung'atuka ktk Udiwani kata ya Ubungo Muda wa Madiwani utakapo isha,Sitogombea tena Udiwani Uchaguzi Ujao..!
Miaka 10 Utumishi wangu ni Kwa Sababu Wana-Ubungo Mlinikopesha Imani.
Tumekuwa wote wakati wa Shida na Raha,Mabonde na Milima
#ASANTEUBUNGO#NIMEWASIKIA
Katika Purukushani Kubwa Sana ya Kuvamiwa na Kupigwa Marungu Mengi,alikuja Askari Magereza Mmoja kuninong'oneza kuwa
"Usiwe Mjinga,Chomoka Ukimbie"
Namshukuru Sana aliyekuwa Ananipiga Marungu, aliniambia kwa Sauti ya chini
"Jacob,Vumilia, Usikimbie, Wamepanga kukupiga risasi"