Matokeo Mkutano Mkuu CCM.Watoto Pendwa pamoja na kugawa ATM za kutosha kila Mkoa.Hali zao ni mbaya ndani ya CCM.Msukuma ana nguvu kuliko Makamba.Innocent Bashungwa amewazunguka karibu mara mbili.Vita itahamishiwa kwa Inno.Bashe anaweza asiwe salama.Mmemuona Kasesela ?
@Daudi216 Mimi nimeelewa Kwa namna mbili.1. Mwanamke mwenyewe hajakomboka kifikra ili kubaini unyanyasaji juu yake. Bado ana Mila potofu kandamizi.picha inaonesha yeye mwenyewe yupo SAWA tu Wala haoneshi kuwa Kuna maumivu yoyote.2. Mwanamke anaonesha kujitwika majukumu yote ya familia.