“Mental slavery is the worst form of slavery. It gives you the illusion of freedom, makes you trust, love and defend your oppressor while making an enemy of those who are trying to free you or open your eyes.” ~ Miss Fiyah #WakeUpEverybody✊🏿
Ndio mnasema vijana wenzenu hawajitumi ila wakiwafuata huko private kuwauliza mambo ya msingi mnawajibu shombo,that cant help at all saidia wengine the wholeheart hutaki sema sitaki usiwe maji moto au baridi
Nilipotekwa nilinufaika na sauti ya umma. Nakuhakikishia, @Sativa255 anahitaji sauti yako kuliko kawaida.
Tunajali kwakuwa kila mtu ana haki ya kuwa salama. Na kuwa huru. #WhereIsSativa?
“No one is going to give you the education you need to overthrow them. Nobody is going to teach you your true history and your true heroes because they know that knowledge will help set you free.” ~ Assata Shakur #WakeUpEverybody✊🏿
Jabulani Khumalo is one of those uncles that when you send them to pay lobola for you, with your own money, they come back thinking your wife is theirs because she is beautiful. The Electoral Court confirms that he was just umkhongi and not uMkhonto. #ElectoralCourt #JabulaniKhumalo
Huyu hapa tena, Wakili - Kijana BALTAZARY Kampinga Wakili MWABUKUSI kugombea nafasi ya Urais wa Chama cha Mawakili. Ikumbukwe mwaka jana Baltazary ndiye iliyezuia Mkutano wa Chama cha Mawakili.🤔✍🏾
“Each time I want to fight for African rights, I use only one hand because the other hand is busy trying to keep away Africans who are fighting me.” ~ Benjamin Burombo #WakeUpEverybody✊🏿
Kunywa mchanganyiko wa Tangawizi🫚 + Karafuu + Vitunguu swaumu🧄
📍Husaidia;
🌿Maambukizi kwenye njia ya mkojo
🌿Shinikizo la damu
🌿Kikohozi
🌿Magonjwa ya joint (Arthritis)
🌿Cholesterol nyingi
🌿Kinga ya chini
🌿Hedhi yenye uchungu
🌿Kisonono
Mchanganyiko wake Saga/vikate vipande vidogo vidogo. Chemsha na maji kwa dakika 15. Kunywa kikombe cha chai mara mbili kwa siku.
Kuna mambo huwa watu wengi kwenye jamii huwa hatuyaongei, wakati mwingine ni kwa hofu ya kujianika hadharani, ama hofu ya watu kujua siri za mafanikio yetu. Nadhani kizazi kinachoibukia kinahitaji kujua tulifikaje tulipo leo kutoka kwenye uhalisia wa maisha yetu badala ya kuwaacha wakagundue tairi lao wao wenyewe.
Makubwa mawili, ama matatu ni, ulimpataje mkeo uliyeishi naye miaka zaidi ya 20? Ama ilikuaje ukaachana na mzazi mwenziyo? Ama ulifanikiwaje kutajirika? Matajiri huwa hawaongei yote. Na hata wakiongea basi hadhira huamini kuna siri tajiri hasemi! Wengi huamini kuna mganga wake nyuma ya utajiri alionao, ama kuna dhambi alifanya ambayo hawezi kuisema. Kwamba, kuna kitu tu hakiweki wazi, sababu ni cha siri.
Leo ntaongea kitu chepesi, muhimu sana lakini tunakichukuliaga poa sana. Kupata mwenza wa kusafiri naye kwenye adventures za maisha. Unampataje? Yupi ni sahihi na yupi siyo?
My two cents:
1.) Sifa kubwa kuliko zote ni ‘loyalty’. Mchunguze kwenye hili, maana akifeli hili hata aweje, piga chini. Safari ya maisha ina kupanda na kushuka, ina wins and failures - unahitaji mwenza mwenye moyo usioyumba kwenye uaminifu kwako, hata itokee nini. Your partner needs to be your main guy! She got you, no matter what. Siri zako ni siri zake and vice versa.
2.) Partner wako awe anatazama mbali, na awe anakuona kwenye safari yake. Awe ana uwezo wa kuchangia chochote kwenye ndoto zako.
3.) Partner wako asiwe mwenye mtazamo wa kwamba wewe una jukumu la kumhudumia na kumsaidia yeye tu, yeye hajigusi kwa lolote, hana hata wazo la kuleta kwenye hustles zako! Huyo ni mzigo, piga chini mapema!
4.) Partner wako asiwe anaona kama anakupa favour kuwa na wewe. Aone kwamba nyote mnahitajiana kwa namna moja ama nyingine. Basi asikuachie jukumu la kumtunza, kumjenga kimaisha hadi la kumfikisha kileleni! Yeye atulie tu kama jiwe, hakukuruki hata kidogo. Nope! Akupambanie, ajipambanie na awapambanie. Muwe pamoja.
5.) Ukiona una partner anautazama uzuri wake na mwonekano wake sana kama ndiyo kila kitu, na kwamba hupindui kwa sababu yeye ni mzuri saaana! Bro, piga chini, sepa. Uzuri siyo kila kitu, ni nyongeza tu. Unahitaji umpime kwa ‘values’ nyingine zaidi, umpime kwa ‘content’ anazoweka mezani, na siyo uzuri pekee. Kumbuka tu kuna kuchoka, kuzeeka, kuanguka; huwa wanakimbia hawa.
6.) Ikitokea ukaona partner wako ukimpa pesa kidogo, zinazaa na siku umekwama ama una jambo unataka kufanya anaweza kukuazima ama kukupa pesa, huyo anafaa. Ukiona partner wako hawezi kutunza pesa zake, hawezi kuzizalisha, yeye kila kukicha anakuletea bills tu, hana vocha, hana bando, hana nauli, na hana siku moja anakuletea hata zawadi, toka nduki kama Filbert Bayi! Huyo ni mzigo.
7.) Tuwafundishe watoto wetu kazi, wajue kuzalisha, wasiuone uzuri ama mwonekano wao kama mtaji, wasione sex kama nguzo ama silaha ya kuwaweka kwenye mahusiano. Wasiwe mzigo kwa wenzao. Amina. 🤲🏿
#HK #Fighter #NjeYaBox