I am a seasoned professional with experience in IT services, transportation logistics, network engineering, technician services, and building materials supply.
Like & Repost thread hii ya Kwanza Kati ya 31 nitakazokuandikia kila siku mwezi January.
Ni kwa namna gani utaweza kuanza kuunda million dollars?
Fuatilia threads zote 31.
@mangekimambi@freemanmbowetz Hujamielewa mwenyekiti.kasema msingi wa ukomo wa madaraka ni demokrasia.watu wakikukataa ndio ukomo wenyewe.
Sasa Mange una make judgment based on neno moja tu??sio fair
Alafu anaongelea utaratibu ulioko kwenye chama na amekiri kabisa ukomo wa madaraka ni kitu kizuri.
FOREX Beginner To Pro Course GIVEAWAY
Kwa lugha ya KISWAHILI
Thamani ya course ni $1200
But nakupa Bure imagine
COURSE INAZUNGUMZIA MAMBO YAFUATAYO
1. Forex trading ni nn?
2. Kinanani wanafanya forex trading ?
3. Wakati gani forex inafanyika?
4. Forex trading inafanyika wapi?
5 . Faida na Harasa za kufanya forex Trading?
6. Misamiati muhimu Kuhusiana na Forex Trading.
EPISODE 9 ZA VIDEO NI NYEPESI NA ZINAELEWEKA
HUNA CHA KUPOTEZA EVERYTHING IS FREE KABISA
VIGEZO ILI UPATE COURSE
FOLLOW ME,
REPOST HII TWEET
LIKE
Kisha Dm Neno GUIDE
Asante
Sambaza iwafikie wengi
Wow, they really don’t get it.
Mars is critical to the long-term survival of consciousness.
Also, I’m not going to ask any venture capitalists for money. I realize that it makes no sense as an investment. That’s why I’m gathering resources.
Hamna Mtu anajua kutengeneza HIT SONG.. a hit ni matokeo ya mapokeo ya kazi, ambayo hakuna anayeweza kuyatabiri.
FREESTYLE ni sanaa ya kipekee, na training na approach yake ni tofauti.
Sema Freestyler wengi hawawezi kutengeneza standard structured SONG, ndio! Ila sio hawawezi kutengeneza Hit Song!!
A freestyle ni kitu cha IMPROVISATION na feedback kinayotaka ni ya INSTANT GRATIFICATION. Wakati a SONG ni STRUCTURED & THOUGHTFUL na feedback yake ni CONTINUAL
Unaweza kujua kutunga nyimbo na usiweze ku freestyle. Ila ni rahisi kwa Freestyler kuweza kutunga nyimbo (TRAINING NDOGO TU) Snoop Dogg alikuwa freestyler tu, until Dr Dre alivyomfundisha SONG STRUCTURE, and he now has hits galore.
And btw, zipo freestyles kibao ambazo ni HITS pia!! Yaani watu wali freestyle tu ila it was so good and so popular, now wanalazimika ku-perform tena as if ni proper songs. Mfano Lloyd Banks (Victory), Jadakiss (Who Shot Ya, ile aliifanya kwenye Versuz), etc
Na in modern day! Music uko driven na marketing & investment. Kuna nyimbo nzuri kabisa ila haziwi hits sababu hazijatengenezewa mazingira. Ila pia ukisha kuwa na Hit, unakuwa popular, na hata nyimbo za kawaida zinaweza ku-shine sababu watu tayari wanakufatilia.
So FREESTYLE vs SONG, different approach, ila zite ni ART. Na reality A freestyler can make a song faster than a Songwriter, ila wote wana change ya ku HIT or MISS equally.
Kuandika nyimbo you have to LEARN. Kwenye Football watoto wa Ki-Brazil wana ball juggling kama zote, ila reason now they can play organized football ni sababu WAMEFUNDISHWA in academies.
Btw, kwenda NBA mfano mbovu pia. Sababu ya Street Ballers wengi kushindwa kwenda NBA sio hayo Machejo ya And1 …. NBA inachukua wachezaji kutoka Vyuo Vikuu tena vya Division 1. Hadi kuingia chuo inabidi uwe uli pass High School. Na pia kuna physical gifts (Urefu). So hiyo nayo ni upotoshaji… na kuku provia… RAFFET ALSTON ambae kwenye And1 alikuwa anaitwa Skip To My Lou amecheza NBA (Rockets, Magic) sababu alienda College, ila Wenzake wengi ni watoto wa mtaani tu.
Kuna FREESTYLE, GOOD SONGS na HIT SONGS. Acha ku misuse the latter; jifunze zaidi
Respectfully