Mwenyekiti wa Kijiji cha Dundani wilayani Mkuranga mkoani Pwani Adam Mpombe akionesha kisima ambacho wanakijiji wake wanakitumia kupata maji. Tuwasaidie!
@moodewji@DewjiFoundation Mwenyezi Mungu akubariki zaidi na kukuongezea wema siku zote maana sio wote wenye uwezo kama wewe wanaguswa na maisha ya wanyonge