MATEMBEZI NA MAOMBI ARUSHA๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Paul Makonda ameandaa Matembezi na Maombi Maalum ya pamoja ya kuombea Mkoa wa Arusha na Taifa la Tanzania siku ya Tarehe 09 Desemba, 2024.
Matembezi yataanza saa 02:00 asubuhi