๐คTunashirikiana kwa dhati kuhakikisha wakulima wanapata mbolea na viuatilifu vya ruzuku kwa urahisi. ๐ฐโWe work hand in hand to ensure farmers access subsidized fertilizers and pesticides with ease. #peoplesbrand#agriculture#nguvumoja#agrodealer#mo#pesticides
Wadau wa pembejeo, hii ni nafasi yako kuongeza faida ๐ฐ, kuwainua wakulima ๐ฑ, na kushiriki katika mageuzi ya kilimo Tanzania ๐. MBOLEA NA VIATILIFU ๐ฒ Jisajili leo na uwe sehemu ya mashamba yanayostawi na jamii imara! ๐ช๐ค #motunagusamaishayako#peoplesbrand#mo#nguvumoja
Our CEO group operations Mr. @indrabhuwankumar proudly addressed TFRA, reaffirming our commitment to Tanzanian farmers ๐. Subsidy fertilizers are now available across the countryโright quality, right time, right price! ๐ช๐ฑ#KilimoBora#MeTLFertilizers#AgricultureForAll
Usikubali๐ mazao yako yapungue kwa sababu ya gharamaโfikia mavuno ya uhakika kwa kutumia mbolea ya kiwango cha juu, kwa bei iliyopunguzwa. Tembelea kituo chetu kilicho karibu nawe au wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. ๐
#KilimoBora#MeTLFertilizers#WakulimaTanzania#MavunoZaidi