@MariaSTsehai@mdudenyagali Acha kwanza utapeli wa kujifanya unapigania haki za Binadamu ili kujipatia pesa za wazungu ndio uanze kusali novena Mungu hachezewi
@spana_Konki Sasa mtu kawekeza muda fedha nk kwa miaka 4 leo CDM hawashiriki uchaguzi kunaubaya gani yeye akihama Chama sio kabila kwamba hatakama kinapoteza misingi yake watu wasihame
@MwanaHabariNews@MsigwaPeter Kiongozi ni taa na mwanga wa Chama Sera zake zilikuwa mdomoni tu baada ya kushinda aliyoahidi hakuyatekeleza pili msingwa anawaita wenzie matapeli wa siasa yeye vipi nini kilimfanya kuhama ni utapeli pia au?
@Sativa255 Wewe unapambana mitandaoni upo Kenya unakula hela za wafadhili wewe unamsema vibaya yeye kakujibu moja tu umekuja kutafuta huruma mitandaoni mapambana mwanaume wewe acha kutafuta huruma mitandaoni ulimuanza mwenyewe
@nulphin@SuluhuSamia@ikulumawasliano Akili yako imeishia hapo kufikili kwahiyo mtu akiwa mkuu wa mkoa Hana biashara nyingine zinazomuingizia kipato unadhani wanategemea mishahara tu