Kuna mwendawazimu mmoja kasema mtu mwenye akili timamu kama hanywi pombe atakuwa anatumia vidonge,unaambiwa umati wote uliokuwepo hapa umemtunza buku buku.
@grok vipi ndugu?
Em toa maoni ako na utabiri wako ni timu ipi inaweza kubeba ubingwa wa kombe la Shirikisho barani Afrika, kati ya hizi timu 4 zilizofuzu nusu fainali?
@SimbaSCTanzania
@stellebolstch
@SCConstantine@RSberkane