@Kariakoo_ Upo kwenye akili yangu mkuu that why kutuma au kujibu zile meseji za happy new year kwng ilikuwa ngumu sana even wife nlimwambia kabisa siwezi ipoteza hii siku apa mi naenda kugrind as usual though alinuna ila alielewa at end ๐๐๐
Siwezi kusherekea wala kushukuru Mungu kumaliza mwaka ambao watu wenye akili nyingi walikaa wakapanga tuishie miezi 12 afu tuanze upya kwanza sijawai kuona utofauti wa hio siku mwaka unapochange Is the day like another day tu fvck๐ฎ