@bajabiri Hapana huyo ni datuu kondokta mwaminifu sana wa kidinilo toka enzi za kina hasani na yule binti nafikiri ni ASHA alitokaka BARAKA EXP. Boss hizi gari ni mzee Fulani MKAKA MAVU SANA.
@fbuyobe Hili JANGWANI na kwa nature ya MEDIA zetu "BOSSI WA WIZARA BUNGE LIKIVUNJWA" kaliplan kimkakati sana AGENDA mama ya 30/4/2025 imekosa huhalali wa kujadiliwa kuanzia Leo 2/5/2025 Na MJADALA MAMA UTAKUWA NI JANGWANI TU......Kimsingi BOSS yupo pale KIMKAKATI
@TheRealEkiswaga Too late jamaa wanasema hujui unacho taka,kwenye kukaba unashambulia na kwenye kushambulia unakaba unajipa umuhimu sana...wanakuchora tu kilichotokea 2020 kinaenda kutokea tena. PIGA KIMYA
@INFLUENCERjr Huyu hapiti kwenye ngazi za chama... yule jamaa mshindani wake kampandikizia wahuni ndo wanamshauri abehave hivi ili ateuliwe kumbe kimsingi anampteza.
@mdudenyagali@ayubu_madenge Ndugu nafikiri unachanganya Mambo hayo ni mafundisho na mapokeo ya kanisa katoriki la mitume kimsingi wewe kama sio mkatoriki na huamini kwenye falsafa za kikatoriki hapa utabisha Hadi mishipa ikutoke.
@Eng_Matarra@SodyElia Ndugu unacho Pinga ni Nini kwamba kwa mujibu wa kanisa katoriki Petro sio PAPA au unapinga Nini? Andiko la Ayubu ni juu ya kanisa katoriki.