Japo sina Elimu ila nimewaza endapo presha ya kimataifa itazidi kutokana na ripoti kama ya CNN na hatua za Bunge la Ulaya, Serikali ya Tanzania huenda ikachukua hatua zifuatazo si kwa sababu ya kujali wananchi, bali kujilinda kimamlaka na kujiokoa kidiplomasia
@Adventure_36 Hii mbezi posta mna ipromote kila siku week sasa. Huwa zinapaki posta ipi? na zinapita njia ipi? Maana sisi wa kigamboni ili tuje mbezi kwa kuvuka feli. Lazma tuchkue bajaji mpka posta pale nachukua daladal za manzese ndio nkatafte gari za mbez au bajaj naul buku 5k mpka mbezi
Uovu hushinda wakati watu wema wanabaki kimya. Kwa hiyo, katika maisha yangu yote yaliyosalia, nitahakikisha sitakaa kimya. Nitaendelea kusema ukweli, bila kujali gharama.”
Erika Kirk
#TajiriLaKihaya
Umuhimu wa kuwa CHAWA ni Upi…
Kama wale wapiga Risasi na mabomu hawakua Wanawatenga pembeni kabla ya kufyatua?
Kama hawakupewa Access ya internet,wote tulikua gizani?
Kama hawakuenda Chamwino, wote tulifuatilia kwenye Runinga?
Kama wote Tulikua kwenye LockDown?
Na saa 12 jion wote tulikua ndani?
Kama Hauna Ajira ya kudumu,Hauna Uhakika wa KULA na Ukiugua unatibiwa huku huku tunapotibiwa sisi??
Kuna Tofauti gani kati ya CHAWA na NDOM?maana ikishatumiwa inatupwa kwenye DustBin??
Fungua akili,JITAFAKARI,CHUKUA HATUA…
UCHAWA sio Dili…
Kama unapewa elfu kumi (10K) kuenda kujaza uwanja kwenye mikutano yao hiyo ni biashara.
Hakuna biashara ya HASARA-Hizo Elfu kumi kumi mtazilipa mara ELFU KUMI. Ni swala la muda tuu.
Hii speech ya JIWE inaishi sana.
TUTAKUWEPO🫵😎
@Brother_0101 Now naelekea 30 ndo nimefahamu umuhimu wa baba bfore nilikuw namchukia sana now ni my friends and natamani nikae nae nijue mengi kutoka kwake tatizo majukumu🥺ila dingi ni mtu sana basi tu
@Adventure_36 Bora hao kuna hizi za K/wilayani - Temeke. Hakuna inayokwenda moja kwa moja k/wilayani zote zinaishia kigamboni na LATRA wanajua hilo sijui why hazifitiwi usajili