Ya Allah, Iwapo Siku Moja Nitapoteza Matumaini Yangu Na Makusudi Yangu, Nipe Imani Kuwa Hatima Yako Ni Bora Kuliko Chochote Nilichowahi Kuota.
Jumaa Mubarak 🤲🏼🖤
Kadri unavyozidi kujitambua na kuonekana ni mtu unayejua nini unataka kwenye maisha yako...watu wataacha kukutumia vibaya na kukupa thamani unayostahili..!
Good morning friends and Happy new month❤