In regards to this, she urges fellow Kenyans to nominate deserving individuals as a way of emphasizing community involvement and recognition of those who have made significant contributions to society.
@Heroes_Kenya
5/5
Cabinet Secretary @CSAishaJumwa today attended a landmark event at Bomas of Kenya, the launch of the first-ever strategic plan for the National Heroes Council for the period 2023/24-2027/28, along with the unveiling of the Council's new logo.
@Heroes_Kenya
1/5
The CS is also committed to providing comprehensive support through budgetary allocations, policy direction, linkages, partnerships, and collaborations, a commitment crucial for the successful implementation of the strategic plan.
@Heroes_Kenya
4/5
Waliohudhuria ni Spika wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bw. Joseph Ntakirutimana,Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jamhuri ya Uganda,Bw. James Magode Ikuya, Katibu mkuu idara ya Utamaduni,Sanaa na turathi Bi Ummi Bashir na wawakilishi kutoka mataifa jirani.
3/3
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa na kwa kweli muacha mila ni mtumwa ndiposa leo hii watu wamejumuika kusheherekea siku ya Kimataifa ya Kiswahili duniani na kuonyesha mila na desturi mbalimbali za Mswahili katika ngome ya Fort Jesus.
@Bomasofkenya
1/3
Lugha ya Kiswahili imepewa taadhima inayostahili hivyo basi lugha hii huenda ikatambulika kama lugha ya saba ulimwenguni.
Wizara ya Jinsia, utamaduni, sanaa na turathi inaendelea kuhakikisha kwamba sera mwafaka zimeundwa katika kutekeleza juhudi za kukuza Kiswahili.
2/3
Waliohudhuria sherehe hii ni pamoja na waziri wa Utalii na wanyamapori, @DrAlfredMutua, Spika wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Bwana Joseph Ntakirutimana pamoja na baadhi ya wawakilishi kutoka mataifa jirani.
4/4
Waziri wa jinsia, utamaduni, sanaa na turathi @CSAishaJumwa amekuwa mgeni wa heshima katika Kongamano la pili la Kimataifa la Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki lililong'oa nanga leo hii katika hoteli ya Whitesands kaunti ya Mombasa.
1/4
Ifahamike kuwa lugha ya Kiswahili ni chombo muhimu kinacholeta kipengele cha uunganishaji Katika majumuiya yote ya Africa Mashariki na ulimwenguni kote.
3/4
๐ ๐๐ข๐ค๐ฎ ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ฌ๐ฐ๐๐ก๐ข๐ฅ๐ข ๐๐ฎ๐ง๐ข๐๐ง๐ข
๐๏ธ Julai 7, 2024
๐Mombasa, Kenya
Kongamano la Pili la Kimataifa la Kamisheni ya Kiswahili ya Africa Mashariki na Maadhimisho ya Tatu ya siku ya Kiswahili Duniani Katika Jumuiya ya Africa Mashariki
๐ฒ๐๐๐๐๐๐๐!
๐ ๐๐จ๐ซ๐ฅ๐ ๐๐ข๐ฌ๐ฐ๐๐ก๐ข๐ฅ๐ข ๐๐๐ง๐ ๐ฎ๐๐ ๐ ๐๐๐ฒ
๐๏ธ 7th July 2024
๐Mombasa, Kenya
๐ป๐๐ ๐ช๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐!
The celebrations will be preceded by a 2 day conference (5th-6th July, 2024)
Join us to celebrate our language,our heritage!
@Eakc_kiswahili
The Government's efforts to address the challenges faced by widows through legislative reforms and social support programs demonstrate a commitment to promoting justice, equality, and dignity for all.
@HonMbetsa
4/4
Today, Kilifi County commemorates the Post International Widows Day recognizing the challenges and contributions of widowed individuals consisting of 35,368 widows and 3,714 widowers in the community.
1/4
This day provides an important opportunity to reflect on and address the immense struggles faced by widows, including disinheritance, discrimination, and harmful traditional practices.
3/4