Supporting @Simba_sport_club na @Arsenafc
The MIGHT LION page is focused on pushing the limits of what is possible. We believe in challenging ourselves to be th
@singidabssc kwanini isiwe Singida black leopard sc na ikawa Singida Black stars? nadhani mmefanya uchaguzi wa wa jina bila ya kutushirikisha wanasingida
LAMECK LAWIπ·
Karibu Simba karibu kwenye himaya ya boli litembee π· Beki kisiki LAMECK LAWI
Kwenye zile clean sheets alizonazo MATAMPI mchango mkubwa pia umetokana na huyu hapa mlinzi wa himaya ya COASTAL Union Mangushi LAMECK LAWI π·
KARIBU SANA KIJANAπ·π·
@millardayo hawa mbona linapokuja suala la rushwa huwa hawaongei , ila ikitokea kiongozi anawajibishwa kwa uzembe wake wanatoka kufoka foka , Hivi Tz kuna tatizo gani
@zittokabwe@Tanfootball@CRDBBankPlc SIMBA waliomba kuutumia uwanja wa Aman complex wakazuiliwa . leo ajabu fainali ya Fa inapelekwa tena kule . kuna kitu hakiposawa
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ametangaza kuanza kwa ziara ya wilaya zote sita za mkoa wa Arusha akisikiliza, kutatua kero za wananchi na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mhe. Makonda amesema katika ziara hiyo pia atakuwa na mikutano ya hadhara, akiwataka watendaji wa ngazi zote ngazi ya mkoa kujiandaa ipasavyo kwani hatovumilia uzembe, ubadhirifu ama kusuasua kwa miradi ya maendeleo kunakofanywa kwa makusudi na baadhi ya watendaji.
Mhe. Mkuu wa mkoa amewaambia wananchi waliohudhuria uzinduzi wa magari ya Jeshi la zimamoto na uokoaji kuwa mkoa wa Arusha unatakiwa kuwa namba moja katika usimamizi wa haki, kupiga vita vitendo vya rushwa na pia kuwa kinara katika uwajibikaji ili kuwa nguzo kuu ya watendaji wote wa mkoa wa Arusha.
Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda ametangaza kuwa ziara hiyo itaanza Alhamisi ya Mei 23 huko wilayani Longido kabla ya kuelekea wilaya ya Karatu na baadae Mei 27 mkuu wa mkoa na ujumbe wake watakuwa wanaanza ziara wilayani Monduli.
#CloudsDigitalUpdates
LEO NIM NIAMINI YANGA HAWAPENDI KABISA UWEPO WA TIMU Ya SIMBA, JANA WAKATI UZINDUZI S.E.N WENGI WA WAPENZI WA YANGA WALIONESHWA KUKEREKA SANA , LEO NAKO MECHI NA DODOMA BAADA YA DK 90 MATUSI YAKARINDIMA BANDANI . DUH
@swahilitimes#Kwanza kwanini mnaingia bunge letu Tanganyika wakati nyie Mna Bunge lenu?Kwa maneno haya ya Makamu wa Rais,Dodoma mnafanya nini?Eti unawezakuwa Mzanzibar #mtanzania#Ila huwezikuwa mtanzania ukawa Mzanzibar Ubaguzi huu wanini?Halaf mnakataa KATIBA MPYA kwa hali hii? nyie maCCMπ€