KIPANDACHO HUSHUKA:
Kifo cha Mandojo na Maono ya “Almasi” ya @dizastavina.
"Wimbo wa ‘Almasi’ wa Dizasta Vina ulionekana kama mistari tu ya mziki. Lakini baada ya kifo cha Mandojo, unaonekana kama unabii wa kutisha kuhusu maisha ya mastaa wanaofifia.
🧵🧵✍️
🚨🔴⚫️ BREAKING: Rúben Amorim to AC Milan as new head coach, HERE WE GO! 🇵🇹
Verbal agreement done on deal valid until June 2028 plus option until June 2029.
Amorim has accepted all conditions and will sign this week as new Milan manager. 🫱🏻🫲🏼
Hawa Morocco wakisema wao sio Wa Afrika mi nakubaliana nao kabisa hata mi ningekua Bono siwezi kukubali kuwekwa kundi moja na kina Masalanga hata siku moja 😂.
Hawa Morocco wakisema wao sio Wa Afrika mi nakubaliana nao kabisa hata mi ningekua Bono siwezi kukubali kuwekwa kundi moja na kina Masalanga hata siku moja 😂.
Siku hizi ukisiliza vipindi vya radio sijui semina za wamama ni kama Wanawake wanafundishwa namna ya kupambana na wanaume ndani ya ndoa yaani it seems like Mwanaume ni kiumbe mkorofi hapa Duniani ko inabidi muda wote ukae attention kupambana nae kimwili na kiakili.