@AnnaTibaijuka Mbona kwenya madeni na nchi kupigwa mnada alisimama kidete? Kama mfumo ndo tatizo na nyinyi wengi unawakwaza kwa nini msiungane na wachache kuubadili? Pamoja na mazuri yote ila tukubaliane kuna kale ka ubinafsi ka kujijali zaidi ya wengine
@godbless_lema Kwani wamiliki wa vyombo vya habari hawana habari na hii sera na sheria ambayo inawapotezea ushawishi ni kuteteresha biashara yao? Saa hizi nani anasikiliza PB kwa kuwakosa akina kipanya, fatty na cza? Wagomee kutoa taarifa zao ili kushinikiza kufutwa kwa hiyo sheria
@shaffihdauda1 Simba anabeba!
1st leg RSB 1- Simba 0 Simba 1 red card
2nd Simba 1-RSB 0, mechi itaishia extra au matuta.
NB: Red cards: Kagoma au/na Kapombe
@mj0058@Start_WithG Simba anabeba huu ubingwa
Mechi ya kwanza Berkane atashinda 1 bila ila mchezaji mmoja wa Simba atakula red card, mechi ya pili Simba atashinda 1 bila pia mchezaji mwingine wa Simba atakula red card, mechi itaenda kuisha muda wa nyongeza au matuta
NB: red card: Kagoma na shomari
@bajabiri Tatizo shule😂😂😂
Wakiambiwa wasome kwa bidii wanasema money is better than education. Ona sasa aibu hii, na huyu ndo alikuwa mtu wa itifaki😂😂😂
@JonMrema@RobertoLor25039 Mnasema mna demokrasia wakati mpaka leo mmegoma kushindwa? Kama mwenyekiti wenu wa kudumu angekuwa amekubali kushindwa ki demokrasia asingekuwa anafanya huu ujinga nyuma ya watu. Huo ni uoga. Waachieni chama anzisheni chama chenu muingie kwenye uchaguzi
@JonMrema@RobertoLor25039 Waacheni na wenzenu waongoze basi hata kidogo. Nyie mliongoza miaka 22 na makandokando kibao. Sasa wenzenu hata robo mwaka bado mnataka kuwaangusha. Huo ni ubinafsi na tamaa za madaraka. Na uzuri kuna options kibao. Kuna vyama vingine vingi unaweza kuingia na ukatimiza ndoto zako
@cw_pedro Sasa signature zenyewe ni za ku-Spin nas kupaste kwenye karatasi ndo useme hawa wana nia ya kuiondoa ccm madarakani? Kama wameshindwa tuu kusaini karatasi original wamekusanya signature na kuzipaste acha Lissu apambane mwenyewe tuu😂😂😂😂
@nulphin@SuluhuSamia@ikulumawasliano No research no right to speak! Kafuatilie kwanza Kadoo ni ya nani ndo ulete huu ujinga hapa. Kuweni na aibu nyakati zingine. Mnajifanya wana harakati kumbe ni ujinga mtupu njaa tu zinawasumbua. Kuna watu wanajenga biashara zao kwa jasho afu mnakuja kuzipaka matope na siasa zenu
@zittokabwe Pia nikuombe ufanye jambo moja bahati nzuri wewe unapenda kusoma.
Itafute ile sera ya viwanda ya China kipindi wanaanza mchakato wa kujitegemea. Kakisngalie kipengele cha umeme ndo utaona namna gani watu wanauchukulia umeme. Asante
@zittokabwe Maswali:
Distance ya kusafirisha umeme kwenda Zambia na distance ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze hapo kwenda Arusha ipi ni mbali?
Je hakuna chanzo kingine cha umeme maeneo hayo?
Vipi kuhusu kutengeneza Escrow mpya ya kaskazini?