Taarifa za kuaminika toka kwa kachero wetu wa BACK BENCHA ni kuwa JUMAMOSI mtandao utasumbua KUDIPOST kwahyo unaweza kuweka kabisa ili usipitwe na VITA hii ya kumpiga kichwani KANJI mana BATTLE letu ni kama KUKU na NYOKA ila safari hii tunabonda KICHWANI.😂😂
NB: RT taarifa ifike mbali kwa familia ya BACK BENCHA.🤝