@Dr_DGwajima@ezekiel_kamwaga I wish tungekuwa na mfuko wa dharura kuwasaidia wanafunzi wa Elimu ya juu kukamilisha ada kipindi cha UE. Nimeona wanafunzi wakiandika Barua za kuomba kufanya Mitihani ya Special kwa sababu ya kukosa ada. Nenda kwenye Vyuo vikuu kipindi cha UE ndiyo utanielewa.
Help them.
@Mzeewajambia Naheshimu taaluma za watu ila kiukweli brother you have to dig more! Kizazi cha leo huwezi kuandika hoja kama vile hukusomea uandishi wa habari.
@Mzeewajambia Tulileta hadi waamuzi kutoka Misri ili bado tukafungwa tu, suala la kufungwa halina uhusiano na refa inategemea na maandalizi mliyoyafanya.
Kingine hebu tuheshimu taaluma za watu Mwichui kasomea urefa kama wewe ulivyosomea utangazaji sioni kama ni afya sn kuanza kulalamika.