Naibu Katibu Mkuu Bara wa CHADEMA, Mhe. @amanigolugwa , amekamatwa na Jeshi la Polisi mapema leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, na baadaye kufikishwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central).
@MariaSTsehai@tanpol@UmojaWaMataifa PGO yenyewe wanaielewa basi? Ni mara ngapi tumeshuhudia ktk mahakama wakiulizwa maswali kuhusiana na PGO hiyo hiyo na wakichemka kujibu?
Utekaji ni kumchukua mtu kwa nguvu bila kufuata PGO hata akiwa askari polisi
Nyie @tanpol someni vizuri definition. @UmojaWaMataifa
Utekaji ni “[…] kukamatwa, kuwekwa kizuizini au kutekwa nyara kwa watu na, au kwa
uidhinishaji, uungwaji mkono wa Dola au shirika la kisiasa, ikifuatiwa na kukataa kukiri kumkamata ili kumnyima
uhuru aliyetekwa au kutotoa taarifa juu ya hatima au mahali walipo, kwa nia ya kuwaondoa kutoka ulinzi wa sheria
kwa muda mrefu “
Msiseme eti siyo maaskari wenu! Mnachofanya ni JINAI - CRIMINAL
Tutawawajibisha!
#TutaelewanaTu
"Tumemaliza mkutano wetu wa tatu na wa mwisho kwa siku ya leo.
Asante jimbo la Buchosa, asante Nyehunge. Wananchi wote wanasema" @HecheJohn -#NoReformsNoElection
Aisee hili la watu kupigwa mpaka majeraha na kisha kutekwa linaumiza, ila linaumiza zaidi pale watanzania tunaposhindwa kuchukua hatua juu ya ukatili dhidi ya binadamu wenzetu
Hawa wanaoondoka kwa sababu wanadai Mkiti mstaafu katukanwa 🧐
Hawa sasa wanatumia jina la Mstaafu ama? Mbona wanaendelea na dai hilo hilo kila siku?
Haya sisi tuendelee na #NoReformsNoElection
Wanaoondoka tunawatakia kila ya kheri huko waendako 😀👊🏽🔥
"Lakini wewe mwenyewe Mwanasimba usiingie uwanjani kinyinge kama umeingia maabara. Ujue umekuja kwenye vita ya makelele, toa sauti hadi mwisho. Tuanze kujiandaa kuanzia sasa."- Semaji Ahmed Ally. #WenyeNchi#NguvuMoja
Taarifa iliyotolewa na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA,.👇👇
Tumetaarifiwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa amekamatwa usiku wa leo tarehe 13 Mei 2025 akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Mhe. Amani alikuwa anasafiri leo tarehe 13 Mei 2025, kuelekea nchini Ubeljiji kukiwakilisha chama katika mkutano wa International Democracy Union (IDU) unaoanza kesho nchini humo.
Tumezungumza na shirika la ndege la Turkish Airlines ambalo alikuwa asafirini nalo, wametujuza hajafanikiwa kusafari.
Aliyetutuaarifu ameeleza kuwa Mhe. Amani amepigwa sana. Pia hapatikani katika simu zake zote
Leo alfajiri Naibu katibu mkuu Bara Amani Golugwa akisafiri na shirika la ndege la Turkish airline kwenda kwenye mkutano wa @idualliance amekamatwa uwanja wa ndege na maafisa wa polisi.
Kwa taarifa tulizonazo amepigwa na Mpaka sasa hatujaambiwa amepelekwa kituo gani cha polisi na sababu za kukamatwa kwake.
Hamtaki viongozi wetu wa Chama waende nje ya nchi kutoa UWAKILISHI wa hali ya Demokrasia inayoendelea TANZANIA?
Leo SAMIA kawa muoga hivi? Unaweka wapinzani jela.
Unateka na kuwauwa WAKOSOAJI wako.
Afu unaita hiki ni kisiwa cha AMANI, hiki ni kisiwa cha UVUMILIVU.
#FreeAmanGologwa
Nashindwa kuelewa hivi ni kweli sisi watanzania tumeshindwa kuzuia huu uhuni unaoendelea ktk taifa letu, kwa kukubari kutulia tukiendelea kushuhudia watanzania wenzetu wakitekwa, kupigwa na kuumizwa vibaya na hata wengine kuuwawa? Kwamba tumefikia hatua ya kutopendana kiasi hiki?
Tanzania’s Election Will Deepen Cynicism About Democracy | Council on Foreign Relations
“If the rules can be tossed aside or manipulated to protect the regime, they are not rules at all—they are whims.”
@SuluhuSamia mnajitekenya kisha mnacheka https://t.co/iM4exiPuRG
"Tunataka kwenye kutoa medali sisi tuwe wa mwisho kuvaa pale maana wa mshindi wa pili anakuwa wa kwanza kuvalishwa. Sisi tunataka kuvaa medali ya dhahabu, hili sio jambo la kitoto, ni jambo zito. Kuanzia hivi sasa kila Mwanasimba aanze mapambano."- Semaji Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja