@zittokabwe@HusseinBashe Shukrani sana Mhe. @zittokabwe nitamuuliza kaka yangu na Role model wangu Mhe.@HusseinBashe namna mfumo huu unavyofanya kazi na kunufaisha taifa. Nachapisha andiko maalumu litakalosaidia taifa letu kuilisha Afrika.
Mhe. @zittokabwe Mchango wako wa Maandishi juu ya bejeti ya Wizara ya Kilimo na chakula mwaka 2018/2019, pendekezo namba 10. Sikulielewa naomba ufafanuzi nahitaji kujifunza kitu.
Happy Birthday to our 4th President of United Republic of Tanzania H:E Dr. Jakaya Mrisho Kikwete May almighty Allah Bless rest of your life🎂🇹🇿🫡 @jmkikwete
Nikiwa Geneva nilipata bahati ya kushiriki kikao cha 57 cha Baraza kuu la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa. Nilipata Wasaa wa kuwakilisha Taasisi ya @PaxRomanaIMCS Katika Mjadala wa Uthibiti wa Matumizi ya Kemikali zinazochafua Mazingira. @CarolNdosi@ayubu_madenge
Kwa Makadala ya Mwenyezi Mungu Nimekutana na Baba Mtakatifu Papa Francis nikiwa miongoni mwa Vijana 50 Duniani tulioalikwa Ikulu ya Papa Vatican kupokea Ujumbe wa Vijana kushiriki katika ujenzi wa Amani🇹🇿🤝🇻🇦
@CarolNdosi@ayubu_madenge