Khalif Kairo is in Tanzania visiting a forex firm. Amechallenge Kenyan forex traders waweke kitu kama hii wawache kuenda kwa tv station wakisema vile wako na billions na kuosha mikono na pombe.
@airtel_tanzania na @sportybettz kuna kitu mnatufanyia wateja wenu kuhusu failed deposits .
Kuna wateja zaidi ya 2,000 mko na hela zao huko kwenu halfu mnatupiana mipira .
Rekebisheni hili .
Nitarudi tena .
RT ifike hadi kwa Waziri husika .