@GhettoRadio895@CharraDeejay#JAHFLIGHT, Charra hiyo story ya Obotte anafaa ku-learn na ule Kijana ya late Mc Fullstop Andy,alilelewa na Ule bazuu Mwingine for 20 years na mwishowe alikuja kumwita weakedman analea mtoto wa mwanaume mwingine,so asijipeane Sana kwa Hawa watoi juu at long last hatawahi mtambua