@George_Ambangil@Geoffrey87Lea Dalot ni mchezaji mzuri sana sema watu wanamuangalia kwenye negative way kuliko kuingia sokoni kutoa 45m kwa ajili ya right back bora tuwekeze maeneo yenye huitaji some times mchezaji anaangushwa na jinsi timu inavyocheza lkn he can improve umri una mruhusu sio mbaya saana
@mee_nicodemus Hasa kwenye tlansition Simba walikuwa off kama Azam wangekuwa vzr kwenye hizi tlanslation wangefunga hata goli 5 kuna muda unakuta 5 v 3 hata magoli yote yametokana na tlansition