When I was young my bestfriend was a girl (wambui). So siku moja tukicheza, nikasema nimeenda kususu hapo kando na pia wambui akasema anataka kususu pia so we went together. Nikiwa nimesimama na susu nikaona wambui ameenda chini(squat). I was like 'weeee acha kukunia hapo' and she was like no na susu, i was so confused. Unasusu ajy nikama unakunia?๐๐ Later that day kurudi home my mother had a really hard time to explain to me cause i wanted to see kwani hio kitu inakaa ajy๐. Ilibidi mzae a demonstrate na ngombe ndio nikatulia.
I cant imagine what that jamaa who lost his car has gone through. Mimi wakati ile nilikua napiga ulevi nakwambia kuna siku niligusa mfuko namna hii nikaskia hakuna simu,my itel A190 was gone, pombe yote ya 1200 ilikua kwa kichwa ikadilute. Nikarudi sober,Na vile nilikua nimengโengโana kulewa aki. Nikawacha kuskia,all the music in the background was muted by my ears. Nikifikiria Nangos imepotelea wapi
Now imagine not finding your car where you parked it. Hapa ata unawesa poteza fahamu bwana, unafaint,tens unaamka unalipa nduthi unarudi mpaka nyumbani kuangalia kama uliisahao uko. Ukiikosa unarudi klabu tena mbio. Unapigia ule rafiki yako anakuanga mjinga ukitamani aseme niyeye aliichukua akuprank,anakwambia ndugu yangu mimi niko uganda. Woi! Woi! Mimi nikinunua gari naona nitakua natoka na steering nikiingia klabu. Bwana Hamtanirudisha nyuma nikiona. May All thieves Including Ruto get struck by lightning !