Good Morning waungwana!
Msisahau 10am to 2pm ni #kazimpango ndani ya @Milele_FM
Kwenye Mics kama kawaida ni @DEE_RW na @KakaZema@DjSlim254 kwenye DECKS!
Hivi me huona watu wakiandika TGIF...!
Inamaanisha nini hii TGIF?
Elimisheni mwenzenu please?!
#kazimpango