Emmanuel Too of Citizen TV has made it easy for everyone to understand the attack in Kinshasa, Congo, and the fall of Goma to M23 rebels. He is an excellent reporter and well-informed.
Mwaka 2013 Raisi JK alishauri serikali ya RWANDA π·πΌ kuzungumza na kutafuta usuluishi na serikali ya DRC kwenye kikao kilichohudhuriwa na Raisi wa Uganda,Rwanda na Tanzania na DRC.
Baada ya kikao hicho kumalizika KAGAME akaondoka na alipofika kwao akasema maneno hayo ππΎππΎ
Freeman hana mpango na mageuzi ya nchi hii.
Tumeona ufunuo wa kutosha kuamini hivi.
Kesho ni ama tuanze upya au tukataane mazima.
Hatuwezi kushiriki biashara ya kuuza damu!
Tunahitaji uelekeo mpya!
Tazama msafara wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ulipokuwa ukielekea kwenye ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete kwa ajili ya kuongoza Mkutano Mkuu Maalum wa chama hicho.
Mkutano huo mbali ya mambo mengine unatarajia kumtangaza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo, Abdulrahman Kinana.
Imeandaliwa na Juliana James na @MosesKwindi