Watu wananisema nimebadilika sana mimi huwa nawajibu ndiyo nimebadilika, kwa bidii yangu ninayoiweka katika kazi zangu, natumia nguvu na akili kwa kiasi kikubwa
Mchezaji Wa Yanga mzize ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumia yanga mpaka mwaka 2028 Mzize ameongezewa mshahara mara nne ya anao lipwa sasa . Na amepewa usafiri wa gari yenye thamani ya 85 Mpya. Kiufupi ni kuwa mzize ataendelea kukiwasha jangwani mpaka 2028.
Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki siku ya mwananchi tarehe 12.9.2025 dhidi ya timu ya BANDARI FC kutoka nchini Kenya.
#SikuYaMwananchi#YangaSC
Kuharibikiwa biashara yako na mtu yoyote yule iwe kwa utani au kwa kweli inauma sana...
sifurahishwi na namna tumeacha kuhamasisha watu wapende jezi zetu na kuzinunua
Ghafla tumeaza kujadili jezi za simba iwe ni zenyewe au sio zenyewe sisi watu wa yanga zinatuhusu nini?
Mwenyezi Mungu atuondolee kiburi chochote katika nyoyo zetu, na atujaalie tuwe watu wanyenyekevu na wastaarabu, tukishughulika na kila mtu kwa upendo, utunzaji na heshima.
Kama vile nyayo moja haitafanya njia duniani, hivyo hivyo wazo moja halitafanya njia akilini. Ili kufanya njia ya kina ya kimwili, tunatembea tena na tena. Ili kutengeneza njia ya kina ya kiakili, lazima tufikirie tena na tena aina ya mawazo tunayotaka kutawala maisha yetu.
Nchi yetu kwa sasa inahubiri amani sana. Kuliko miaka ya nyuma kana kwamba huyu amani hayupo....ushauri wangu
Hata moto umewaka kwa kuwashwa hili neno halina afya kwenye nchi tunalitengeneza wenyewe tu.
KARIA AMEDHIRISHA NI ADUI WETU NO 1 SIMBA ÑO2 INAPASWA TUJADILI HATA SIRI SIRI TUMFANYIE NINI ATUHESHIMU TUACHE KULALAMIKA ADUI AMEJITOKEZA SASA NIAPAMBANO TU
"Vitu vingine vinafanyika ni vitu vya kitoto vya kijinga, sijui vinataka kutujaribu au vinataka kuporomosha mpira wetu!! Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao." Amezungumza Wallace Karia - Rais wa TFF kuhusu Derby kuahirishwa. (Chanzo: Game Plan ya EFM)
SIMBA WAMEAZA KIKAO JUMATATU MPAKA KESHO ALHAMIS. SISI IJUMAA TUTAAZA KAZI RASIMI ili simba wapate matokeo kwenye mechi hiyo basi wanahitaji wapate samaki aliefiwa na mumewe aliekaa eda.
Vijana jasiri Chadema wanatolewa kwenye mfumo wa chama kwa maslahi ya mtu mmoja alafu mseme tutakuwa na chadema imara kweli?
Unamtoa Twaha mwapaya kwenye kugombea uongozi kisa tu hakubaliani na wewe.
CHADEMA HAPA MNAWAKOSEA SANA WATANZANIA KIUKWELI.
@IParasalaw@ChademaTz Duniani kote, kuna kanuni isiyoandikwa katika katiba inayotaka chaguzi za kidemokrasia kushuhudiwa na waangalizi huru ili kuupa uchaguzi heshima na uhalali wa kimaadili. Mamlaka zinazokusudia kuiba kura na kupora chaguzi haziruhusu makundi ya waangalizi huru kushuhudia chaguzi.
"Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"
"Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"