1. Kwanini Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo hayupo kati ya watuhumiwa wa kupanga na kutekeleza ubakaji na ulawiti?
2. Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo anatakiwa kushtakiwa kwa makosa ya kula njama ya kutenda uhalifu (organized crimes)
3. Wshtakiwa ni wanne wakati tulielezwa na msemaji wa Polisi ni watuhumiwa sita? Watuhumiwa wengine wapo wapi? Hawajakamatwa?
4. Kwanini watuhumiwa hawajashtakiwa kwa (armed robbery) makosa ya unyang’anyi wa kutumia silaha pamoja na kuteka nyara (Unlawful confinement)
5. ‘JM’ alitekwa na wanaume watano wakiwa na silaha (visu) mkononi, wanaume hao walishuka kutoka katika pikipiki mbili, kwa mantiki hiyo alitekwa.
6. Kifungu cha 286 na 287A cha kanuni ya adhabu sura ya 16 kimeeleza vizuri kuhusu unyang’anyi wa kutumia silaha. Watuhumiwa walitenda kosa hilo.
7. Kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha likifanywa bila kujeruhi, kuumiza, kupiga waathirika, adhabu yake ni kifungo cha miaka isiyopungua 30
8. Binti ‘JM’ ana miaka 17. Kanuni ya Adhabu kifungu 130(1)(e) kushiriki mapenzi na msichana aliye na umri wa miaka 18 ni kubaka. Inaitwa ‘consent rape’
9. THE ATTORNEY GENERAL VS. REBECA Z. GYUMI CIVIL APPEAL NO. 204 OF 2017, hii ilitoa marufuku binti chini ya miaka 18 kuolewa. Hii ni sheria.
10. Kifungu cha 13 na 17 cha sheria ya ndoa kwa kutumia hukumu ya kesi hiyo kimetamkwa kipo kinyume na katiba hivyo kinamuathiri mtoto.
NB; Polisi mkitaka tuendelee kutoa taarifa, tutamtaja “kamishna” ambaye ni mpenzi wa ASP Fatuma Kigondo ambaye; mzizi wa huo wivu wa mapenzi.
Brigedia Mtikila, MMM.
Your faith, like most things in life will fluctuate. Don’t expect it to remain constant. There’ll be ups and downs, highs and lows, good and bad days. Don’t let that define you. Do things sincerely for the sake of the Almighty and your faith will strengthen by His Mercy.
Drama I watched in 2022
Extraordinary Attorney woo(kr)
Glory of special forces (chn)
2125(kr)
Business proposal(kr)
The rational life (chn)
Love btn fairy & devil (chn)
The oath of love (chn)
Alchemy of souls (kr)
Tomorrow (kr)
Love like a galaxy part 1 (chn)
Movies I watched in 2022
Carter (kr)
Kingdom (jpn)
RRR (hind)
The killer (kr)
Turning red (eng anm)
Attack (hind)
Luck (eng anm)
The witch part 2 (kr)
Seoul vibe (kr)
The gray man (eng)
The message man (eng)
The roundup (kr)
Revenge girl (chn)
Blind sword (chn)
The calamity has taken a huge toll on lives and all aspects of living. Almighty. On this blessed day, we ask You to grant a peaceful and just permanent solution . Only You can put an end to the barbarism and warfare. Aameen.
Never for a moment think that the Almighty has abandoned you. He knows and sees your courage and resilience. He’s put a special light into the hearts of the believers and no one can dim that light. He will grant relief in His time.
Your journey will often be distracted by people’s opinions. Don’t let it consume you. Be honest with yourself. Purify your intention. It makes it easier for you to handle what others think. Besides, it’s not your reputation the Almighty is after. He looks at your integrity.