Miongoni mwa jamii, watu wanapendezwa na kuwa na watoto wa jinsia fulani, wengine kupendezwa na jinsia zote, na wengine "kama ikishindikana, basi nisikose jinsia fulani".
Hii inaibua swali la "Je, unaweza kuchagua jinsia ya watoto kabla ya ujauzito?"
https://t.co/rPLAjJr1Ud
π₯Oyaa Juzi tumeleta AUDI A7 2011 3.0L TFSI Supercharged Sportback Model Hii Machine ni Balaa..
.
Top Speed inasoma 300Km/hr na inafikika vizuri kabisa cause Tumepiga test drive chuma ikafika 260Km/hr..
.
Nimekuwekea video hapo chini + hints muhimu kuhusu hii gari twende π..
@paps_monge Hamna
Reebelo > Aquantuo unaweza ukapata free delivery
Aquantuo (USA) > Aquantuo (TZ) watakupa delivery fee kulingana na uzito wa mzigo ambayo utailipia kwenye mfumo wao
Mzigo ukifika, unaenda Aquantuo office Millenium Tower II unachukua bila gharama nyingine yoyote
Mzee Conscious
Nilifuata hii procedure, nikaagiza S22 Ultra 5G kutoka USA
Machine imenyooka sana
Storage 512GB, RAM 12GB, One UI8, Snapdragon 8 Gen 1
Sikusaidiwa na mtu, nilifuata tu maelekezo na mzigo ukafika salama kabisa
Be blessed man! Asante sana!
Bei sio Fixed
ππΎIngia https://t.co/t5xIZEwkrU tafuta bei hutofautiana
ππΎBaada ya hapo nenda IG Check agent anaitwa "Aquantuo tanzania" akupe address ya kuweka Reebelo
ππΎAtakusafirishia mzigo wakupe na gharama za usafiri