Njia rahisi ya kurithi umaskini ni kuchukua ushauri kutoka kwa watu wasiojua kitu kuhusu pesa kamwe usikubali kila ushauri we chagua kwa busara #Njaamoto
Wanaume wengi huwa ni wagumu kusema vitu vinavyowaumiza sana au matatizo yao,
Ikitokea amekufata na kukuelezea au kuomba msaada ujue wewe ndio tumaini lake na amekuamini sana please msikilize na umsaidie unapoweza bila kwenda kumtangaza kwa watu#Njaamoto
Una miaka 32 na huna mtoto, haya piga hesabu hapo ndo unazaa mwakani, mtoto wako atakapomaliza form four utakua na miaka mingapi. Jitahidi upate hata mtoto maisha mafupi sana #Njaamoto
Mafanikio ni mjadala mpana sana. Ila definition yake inaweza kuwa simple ila digestion yake ni lispace likubwa wengine mafanikio yao ni Pumzi, wengine assets,wengine familia, wengine elimu nk.. #Njaamoto
Mbongo anakuomba umkopeshe pesa sababu kapata dharura
Muungwana unatumia hekima kumkopesha ili umstiri
Siku unahitaji pesa yako, jamaa anahoji kama una leseni na kibali cha kukopesha kutoka BOT
Wabongo wakuda sana aseee😆#Njaamoto
Kupata sio kumzidi ujanja aliyekosa pamoja na yote bahati pia ni sehem kubwa ya matokeo ya maisha yetu, kuna mengi yaliyo nje ya uwezo wetu lakini ndio yameamua kupata au kukosa kwetu#NjaaMoto
Wanawake wengi now days Wako radhi Wadate na mtu Mwenye afueni ya maisha hata kama siyo wa Moyoni ili mradi wawe na uhakika wa Kodi,Mavazi na Chakula.
Ukimjua wa aina hii we Mchezee tu!!
Maskini ana matatizo ya kimasikini na tajiri ana matatizo ya kitajiri. Matatizo huwa hayaishi. Tafuta namna ya kufurahia maisha usisubiri kumaliza matatizo#NjaaMoto