Nimekaa Hapa Nikakumbuka Nikiwa Kidato Cha pili Nimewahi Kukamatwa na Kimadam Kimoja Hivi Cha Field Nikiwa Zangu Back Bencha Nasikiliza Hili Pini....,Hapo Dude Lilikuwa Linamwezi Tu Limetoka Huniambii Kitu Oote🔥
Hio Kolabo Niliyopigwa Pale Staff Siwezi Kuja Kusahau Kudadeki😂🙌
@EsirEid Wazazi waliwajengea wazazi wao pia au mimi ndiyo nianzishe system mpya ambayo haikuwepo kwenye ukoo na kijiji kwa ujumla kwa ufupi responsibility za mtu ni za mtu kila mtu acheze mechi zake
@EsirEid Kijini ni kwao yani kwa wazazi wake njini nikwangu elewa neno kwangu wazazi wanapo kuruhusu ujitegemee ni umeruhusiwa kujipambania siyo kuwapambani kijijini ni makumbusho tu Endapo ukijipata
@WiliamAndason They never add value in life zaidi ya kudrain energy ya mwanamme, ni washindani wa kimya kimya and they are pulling back your progress, if possible pull them off from your life, tafuta mdada wa kawaida ishi nae, kuoa mtumishi ni kukaribisha ushindani wa kimya kimya maishani mwako