Hakimu; Mpale
Mpale Mpoki; nitaomba Mheshimiwa Nshala afanye Rejoinder
Lugemeleza Nshala; tunazungumzia mtu kupoteza haki yake ya Uhuru
Kama amri inavyosema, tulitakiwa tuambiwe ni hatua gani wamefikia
Badala yake tunasikia wanaomba siku 14 na yenyewe wanaleta maneno maneno tu
Tunapenda kusema kwamba Mahakama inatakiwa kuingia hatua ya kuchunguza
Peter Kibatala; Nakumbuka ulisema uamuzi wa kuendesha kesi kwa njia ya mtandao ulisema hoja ile siyo ya Kudumu.
Mazingira ya Kibadilika inaweza Kuendelea ktk Mahakama ya wazi. Tuna Maamuzi ya Mahakama kadhaa ,Mahakama ya rufaa
Civil appeal namba 421 kati ya Kareem S.S Vs Mahesh K.Patel
Mahakama inapaswa kutumia common sense katika kufikisha maombi ya haki
Kwa kuwa mshitakiwa ameletwa kwa kesi nyingine tunaomba Mahakama yako iridhie pia kuendesha kesi hii kwa njia ya wazi
Hakimu; upande wa Jamhuri
Nassoro Katuga; Mheshimiwa hakimu Mkazi Mkuu, Tumesikia hoja za wenzetu.
Tunaanza hoja ya Mahakama kutoa amri kuhusiana na suala la Upelelezi
Kusema hatua gani imezuia upelelezi hatuwezi kusema hadharani
Upelelezi una mambo mengi ikiwepo mambo ya siri
WS Nassoro Katuga; Bahati mbaya sheria inaturuhusu hatupaswi kusema katika upelelezi tumepata nini na tumekwama nini..
Tunatumia nguvu za Kipolisi kufanya Upelelezi huo. Bado Mamlaka ya Kipolisi haijashindwa na hiyo ndiyo hatua tumeieleza Mahakama
WS Nassoro Katuga; Hoja ya suala la Kikatiba ni kweli Kwamba mshtakiwa itachukuliwa kuwa yupo huru mpaka ahukumiwe na mahakama.
Kwa Bahati mbaya katiba haisemi alindwaje na kuletwaje. Katiba haisemi kwamba mshtakiwa halindwi
Kwamba Walinzi wakae nje, practically haijawahi Kuwepo. Kwamba Walinzi wakae nje, wakupokea order hawapo
Na bahati nzuri sana kaka zetu mawakili wasomi hawajaiambia Mahakama kwamba hawa Askari wamemzuia nini
Wamekaa naye na kuwa ndiyo Ma bodyguards wake
Tundu Lissu anatikisa kizimbani kuonesha kwamba hakubaliani kabisa na jambo hilo.
WS Nassoro Katuga; Tunaona Mahakama ili iende vizuri, wenzetu wa Ulinzi na Usalama waendelee kumlinda Mshtakiwa wetu kizimbani, Mahakama na sisi Maafisa wa Mahakama.
Upande wa Jamhuri tunaendelea kusema ulinzi ungeimarishwa zaidi ya hapo.
WS Nassoro Katuga; Kuhusu hoja ya 3, ni kweli order yako ilisema shauri hili lisikilizwe kwa njia ya mtandao..
Lakini Mahakama yako inaweza kutumia busara Kwamba Mahakama irudi kuwa kawaida au kuendelea kuwa ya wazi
Sisi kwa upande wa Jamhuri tunaiachia Mahakama yako tukufu kwa sasa ione inatakaje
Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.
Taarifa hii yenye kichwa cha habari kisemacho "MDUDE AKUTWA NYUMBANI KWA LEMA MKOANI ARUSHA" siyo taarifa yetu JamboTv na hatuhusiki nayo kwa namna yoyote ile.
Tunalaani matumizi ya chapa yetu ya JamboTv kwenye nia ovu mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na baadhi ya watu kwa maslahi yao wenyewe.
Tunaendelea kusisitiza kuwa tunaendelea na uchunguzi kwa kushirikiana na mamlaka nyingine, tukitoa onyo kwa wote wanaojishughulisha na upotoshaji huu wa taarifa kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa watakaobainika kutumia utambulisho wa JamboTv kwa maslahi binafsi.
Esther atatuambia Hilda yuko wapi
Huyu dada ndiye anahusika kwa asilimia kubwa na watu wote waliokmatwa na kupotea mahakamani jana
#NoReformsNoElection
“Aina ya mpinzani ambaye tunacheza naye kesho tunammudu kabisa. Namba ya walionunua tiketi bado ni ndogo, kusema kweli inavunja moyo kwelikweli, sijui mmepatwa na nini lakini ari yetu ya kwenda uwanjani imepungua sana. Sababu zinaweza kuwa nyingi lakini weka inawezekana ya Simba kwenda nusu fainali.”- Semaji Ahmed Ally akiongea katika uzinduzi wa Tawi la Simba la Azimio, Tandika. #HiiTunavuka #WenyeNchi #NguvuMoja
Mchezo mkubwa na muhimu kama huu ukiwa shabiki wa kindakindaki wa Mnyama kweli unahitaji kuhubiriwa kushawishika kuja uwanjani? Guys hii ni mechi yetu, hii ni siku ya kuandika historia yetu. Tukiamua hili kwa pamoja tunaweza na kuivusha Simba yetu kwenda nusu fainali ya CAFCC.