Uongozi wa Dkt. Samia umefungua milango ya fursa na maendeleo kwa wote.
Kupitia vyama vya ushirika, ajira zimeongezeka kutoka 100,100 mwaka 2020 hadi 155,106 mwaka 2025.
#MaendeleoMpakaNdichi#KumenogaSiMchezo
Dkt. Samia anaweka historia kwenye kilimo cha umwagiliaji 📍
miradi imeongezeka kutoka 13 mwaka 2020 hadi 780 mwaka 2025, huku eneo la umwagiliaji likipanuka kwa kasi.
#MpakaNdichi#MaendeleoMpakaNdichi#KumenogaSiMchezo
Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea wetu wa urais wa Tanzania kupitia CCM, tunaungana naye kwa kauli moja kusongesha maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote Mpaka Ndichi 📍
#MpakaNdichi#KumenogaSiMchezo#MaendeleoMpakaNdichi
𝗔𝗦𝗔𝗡𝗧𝗘 𝗠𝗔𝗠𝗔
Mradi mkubwa wa maji Songwe kukamilika,ukigusa maisha ya zaidi ya wananchi 219,300.Uwekezaji wa Tsh. Bilioni 119.9 umefanyika Tunduma, Vwawa na Mlowo kuhakikisha huduma ya maji inapatikana kwa uhakika.
#MaendeleoMpakaNdichi#KaziInaonekana#OktobaTunakutiki
𝗔𝗦𝗔𝗡𝗧𝗘 𝗠𝗔𝗠𝗔
Mradi mkubwa wa maji Songwe kukamilika,ukigusa maisha ya zaidi ya wananchi 219,300.Uwekezaji wa Tsh. Bilioni 119.9 umefanyika Tunduma, Vwawa na Mlowo kuhakikisha huduma ya maji inapatikana kwa uhakika.
#MaendeleoMpakaNdichi#KaziInaonekana#OktobaTunakutiki
𝗛𝗢𝗦𝗣𝗜𝗧𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗥𝗨𝗙𝗔𝗔 𝗠𝗞𝗢𝗔 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗔𝗡𝗝𝗔𝗥𝗢 (𝗠𝗔𝗪𝗘𝗡𝗭𝗜)
Kuboreshwa kwa miundombinu na huduma za kisasa kama X-Ray na Huduma bora za Afya ya Uzazi sasa zimewafikia wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro na maeneo ya jirani
#oktobatunatiki✅ #tikiniyakomama
𝗛𝗢𝗦𝗣𝗜𝗧𝗔𝗟���� 𝗬𝗔 𝗥𝗨𝗙𝗔𝗔 𝗞𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗜𝗡𝗜 𝗠𝗧𝗪𝗔𝗥𝗔
Tumaini jipya kwa wananchi wa Lindi na Mtwara huduma bora, miundombinu ya kisasa, na jengo la kisasa kwa wagonjwa wa nje.
#TekiNiYakoMama
#KumenogaSiMchezo
#MaendeleoMpakaNdichi
KIONGOZI MSIKIVU, TEGEMEO LA WANANCHI
Mama Samia amekuwa sikio la wanyonge, daima yuko tayari kusikiliza na kutatua changamoto kwa vitendo.
#MaendeleoMpakaNdichi#KumenogaSiMchezo
𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗞𝗪𝗔𝗡𝗭𝗔
Rais Dkt. Samia aweka mkazo wa kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka 5 kutoka 43 hadi 25 kwa vizazi hai 1,000 ifikapo mwaka 2030 dhamira ya kulinda kizazi cha sasa na kijacho.
#MpakaNdichi#MaendeleoMpakaNdichi#KumenogaSiMchezo